staili mpya hii hapa

hii staili mpya imekuja na inaitwa bitten by dogs ...ipo sokoni na watu maarufu wameshaanza kuikimbilia na kununua nguo za namna hii kwa ajili ya kuonyesha maungo yao kwa wengine..(kutega )..toa maoni yako unaionaje hii staili mpya.. page yetu ya fb ni  http://www.facebook.com/pages/SK-Network-Blogs/108225092635570 asanteeeeeeeeeeeeee...