list ya mastaa wa bongo waongo kupindukia yafichuka.

kupitia blog hii utapata list hii ambayo imetokana na kura zinazopigwa na wadau kuhusu ni staa gani hapa bongo anaongoza kwa kuongea uongo na kwa nini??mastaa wote wakali watashindanishwa  na kupata wale vinara wa kupiga stor za oungo au kusambaza uongo kwenye jamii ili tu apate umaarufu zaidi..