mastaa wa bongo wamezidi uongo

kuna stor kibao za wasanii na mastaa wengine wa tanzania za uongo na zenye nia ya kuwaonyesha kuwa bado wako juu ingawa kihalisia wameshakuwa zilipendwa masikioni na machoni mwa watanzania walio wengi so kutokana na halihiyo blog hii ni maudhusi kwa kufichua zile stor za uongo na za kuunda za mastaa wetu wa bongo kuanzia wa mziki,maigizo na kadhalika kaa nasi tukufichuliee..